Kunguni Wavamia Baaadhi Ya Magari

Esther Okumu                                                                12/7/2016

Kondakta wa magari ya matatu wanalalamika kuwa wadudu wanaojulikana kama kunguni, wanatisha kuharibu biashara. Wanasema kuwa watu wengine huofia kupanda matatu kutokana na wadudu hao. Kunguni hao husambazwa na wateja wengine kutoka nyumbani kwao bila kujua, kisha hubaki kwenye viti vya magari. Sio rahisi kuwaona kunguni hao na basi wateja wengine huwa hawajui ni nini kilichowatembele mwilini au hata kuwauma.

Sasa wahuduma wa sekta ya usafiri jijini Rongai wameanzisha kampeni za kuangamiza kunguni hao wanaowakera abiria kwa kuwanyunyuzia dawa na pia kutaka abiria kutowa habari ikiwa watawaona wadudu hao, wanawataka pia abiria kuzingatia usafi ili kutatua shida hilo

 

###

 

                           

 

Advertisements
This entry was posted in NEWS and tagged , , . Bookmark the permalink.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s