Huduma Ya Intaneti

Esther Okumu                                                                                         18/7/2016

Magari ya usafiri wa umma mjini Rongai yanayojulikana kwa mziki wake wa sauti kubwa, kupiga honi na hata wakati mwingine uendeshaji mbaya wa magari hayo sasa yameanzisha huduma bure ya intaneti.

Waendeshaji wa magari ya Rongai yanayojulikana kama matatu, wanaifanya safari ya abiria kuwa ya kufurahia na rahisi zaidi baada ya kuanzisha huduma za intaneti bure, bila kuhitaji matumizi ya waya ndani ya magari hayo. Kampuni ya utoaji wa mawasiliano ya simu inayojulikana kama Safaricom Limited ilitoa huduma za intaneti bila kutumia waya, inayoitwa “Vuma Online”, kwa kushirikiana na waendeshaji matatu. Sasa waendeshaji matatu wanasema biashara ni nzuri na wateja wao wanafurahia huduma wanazopata .

Advertisements
This entry was posted in NEWS and tagged , , . Bookmark the permalink.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s