Biashara ya kutengeneza nywele mjini Rongai

Esther Okumu                                                                                                                braids

Utunzaji wa nywele ni kitu cha kila siku kwenye maisha yetu. Kwenye jamii yetu kila mtu anajali anavyoonekana. Nywele zinaongezea muonekano wa kuvutia. Kuanzia mtoto mpaka mtu mzima wanataka huduma ya kutunza nywele. Kama unaweza kuhesabu gharama ulizotumia kwa mwaka mzima kutunza nywele utashangaa kwa kiwango kikubwa.

Biashara ya kutengeneza nywele basi imevuma mjini Rongai, huku wanaofanya biashara hiyo wakisema kuwa inafaida mingi kutokana na idadi kubwa ya wateja. Wanaofanya biashara hiyo wanadai kuwa njia ya kuvutia wateja ni ukarimu kwa wateja, usafi na huduma nzuri na pia punguzo la bei kwa mwezi wa mwanzo wa biashara hiyo.

Biashara hii ya ketengeneza nywele inayojulikana kama Salon ni biashara ambayo ilikuwa inaenziwa kuwa ya wanawake lakini hivi sasa wanaume pia wanaifanya na cha kushangaza ni kuwa watu wengi wanapenda hudama yao.

###

 

Advertisements
This entry was posted in Business News and tagged , , . Bookmark the permalink.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s