Msongamano Mkubwa wa Mgari Mjini Rongai

Question 6

Esther Okumu

Neno Rongai linapotajwa ukiwa jijini Nairobi, kinachokuja akilini mwa wengi ni msongamano mkubwa wa magari. Mtaa huo ulio viungani mwa jiji la Nairobi ni maarufu kutokana na muda unaochukua kusafiri jijini ikilinganishwa na mitaa mingine kutokana na msongamano mkubwa wa magari hasa nyakati za asubuhi na jioni, ambapo idadi kubwa ya watu huelekea kazini au kurudi nyumbani. Wakazi wa mtaa huo wa Rongai ambao umebandikwa jina (Diaspora) kutokana na muda unaochukua kusafiri hadi mjini huo, walisema kuwa kuna vitu mingi vinavyosababisha msongamano wa magari.

Kutokana na uchunguzi uliofanywa kutumia mtandao wa SurveyMonkey, watuu wengi walidai kuwa msongamano wa magari mjini Rongai unatokana na barabara kuwa ndogo na wanataka barabara hiyo lifanyiwe ukarabati ili liwe pana.

Advertisements
This entry was posted in NEWS and tagged , , . Bookmark the permalink.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s