Mtandao Wa Interneti Ni Kipenzi Cha Wengi

Capture

Esther Okumu

Intaneti ni mfumo kubwa ambayo mamilioni ya komputa na mifumo na uendeshaji wa mfumo wa aina zote inaweza kuwaunganisha. Hii ina maana kwamba mahusiano dunia pamoja.

Kutokana na uchunguzi ukiofanywa katika chuo kikuu cha Multimedia University kwa kutumia mtandao unaojulikana kama SurveyMonkey ni kweli kuwa idadi kubwa ya wanafunzi wa chuo hiki hutumia mtandao wa intaneti sana katika mawasiliano yao.

Si siri kuwa wanafunzi hao hutegemea intaneti kutuma na kupokea habari tofauti, cha kushangaza ni kuwa wanafunzi hao hawatumi intaneti sana kufanya kazi zozote wanayopewa na walimu, au kazi inayohusiana na masomo yao.

Ni kweli kuwa mtandao wa intaneti imeleta faida nyingi sana na kurahisisha kazi lakini pia ni kweli kuwa intaneti imewafanya wanafuzi wengi kuwa wazembe na kulitegemea sana katika maisha yao.

 

Advertisements
This entry was posted in NEWS and tagged , , . Bookmark the permalink.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s