Njia Ya Kuepuka Msongamano Wa Magari Mjini Rongai

Finally 7

Esther Okumu

Msongamano mkubwa wa magari unaendelea kuathiri shughuli za kibiashara mjinj Rongai. Tokeo hili limewalazimisha watu wanaoishi mjini huo kuamka asubuhi na mapema ili kujaribu kuepuka kuchelewa kutokana na msongamano wa magari.

Kutokana na uchunguzi uliofanya kutumia mtandao wa SurveyMonkey ni kweli kuwa idadi kubwa ya  wakazi wa mji wa Rongai hawana njia yeyote wanoyoweza kutumia ili kuepuka msongamano wa magari, hawana budi ila kizoea tatizo hilo linalowakumba huku wakiomba afisa wa magari kuwasaidia.

Idadi ndogo ya wakazi wa mji wa Ongata Rongai wamejaribu njia mbalimbali ili kuweza kuepuka msongamano wa magari, wale waliofanikiwa ni wale wachache walioweza kurauka asubuhi na mapema lakini sio hakikisho kuwa wale waliorauka hawatakumbwa na tatizo hili,wakati mwingine huwa hakuna tofauti kubwa kati ya wale waliorauka na wale ambao hawakutoka mapema.

Kutokana na mtandao wa SurveyMonkey ni kweli kuwa watu wengi kutoka mjini Rongai hawana njia mwafaka ya kuepuka msongamano wa magari.

 

 

 

 

 

Advertisements
This entry was posted in NEWS and tagged , , . Bookmark the permalink.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s