Tag Archives: Msongamano wa magari

Njia Ya Kuepuka Msongamano Wa Magari Mjini Rongai

Esther Okumu Msongamano mkubwa wa magari unaendelea kuathiri shughuli za kibiashara mjinj Rongai. Tokeo hili limewalazimisha watu wanaoishi mjini huo kuamka asubuhi na mapema ili kujaribu kuepuka kuchelewa kutokana na msongamano wa magari. Kutokana na uchunguzi uliofanya kutumia mtandao wa … Continue reading

Posted in NEWS | Tagged , , | Leave a comment