Tag Archives: Msongamano

Msongamano Mkubwa wa Mgari Mjini Rongai

Esther Okumu Neno Rongai linapotajwa ukiwa jijini Nairobi, kinachokuja akilini mwa wengi ni msongamano mkubwa wa magari. Mtaa huo ulio viungani mwa jiji la Nairobi ni maarufu kutokana na muda unaochukua kusafiri jijini ikilinganishwa na mitaa mingine kutokana na msongamano … Continue reading

Posted in NEWS | Tagged , , | Leave a comment